FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Huyu kocha wa Azam mbona kama anataka kumrahisishia kazi uto, kikosi gani hiko ?
 
Naona kama Yanga wako Serious sana.

Kombe lenyewe ngao ya hisani tu!!
 
View attachment 2712471

Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo.

Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala.

Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho walipokutana kwenye kombe la FA, Yanga alipata ushindi.

Je, Azam wana lambalamba atalipiza kisasi au Yanga ataendeleza ubabe? Tutakuwa hapa kupeana taarifa.

Mchezo utaanza saa moja kamili jioni.

View attachment 2712472
Weka vikosi Wewe
 
Huyu kocha wa yanga hajielewi pacome sio wa kukaa njee kwenye hii gemu
 
Nionyeshe kikosi cha Azam mkuu.
Yanga nimeona.
Kimechangamka kidogo.

Kocha ameanza kwa ugumu kidogo.
..
FB_IMG_16915958909539423.jpg
 
Back
Top Bottom