uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Asante sana.
Ila inaogopesha kidogo.
Yanga imeanza na wamoto moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.
Ngoja tuone ila sio wa kuwaamini sanaBado robo saa tuu.
Kiwake!!
Azam anaweza kuwashangaza watu
We Huyo Pacome Unamjua?Huyu kocha wa yanga hajielewi pacome sio wa kukaa njee kwenye hii gemu
Nimeonelea hivyo piaKuna mvua ya magoli hapa
Hawa Azam hawapo serious kabisaAsante sana.
Ila inaogopesha kidogo.
Yanga imeanza na wamoto moto
Weka akiba ya maneno
Inaonekana.Hawa Azam hawapo serious kabisa
Huu ni mwanzo wa msimu, hapa kila kitu ni Fresh, yaliyopita ni historia kama ambavyo Simba imeshawahi kuandika histori ya kuchukua makombe. Kwamba Yanga hawataki kuanza na kombe msimu huu? Si kweli.Ngao ya Jamii Simba Sports Club ndio tuna Pressure na Hili Kombe, Ndio litakalo amua Mustakabari wa Ligi Kuu, Imagine Robertinho Asichukue hii Ngao Ya Jamii na Hajamcheza Phiri au kamchezesha kwa Dakika Chache?
Patachimbika, Yanga Leo hii Mechi kwao Ni Nyepesi
hajapata clearanceHuyu kocha wa yanga hajielewi pacome sio wa kukaa njee kwenye hii gemu
Kila la kheri !Tutarud apa baada ya dakika 90 kuakikisha nilicho kwambia mkuu
Mkuu usije kimbia uzi.
Kaa hapa hapa
Yanga asingetaka hili kombe asingeanzisha kikosi kigumu namna hiiHuu ni mwanzo wa msimu, hapa kila kitu ni Fresh, yaliyopita ni historia kama ambavyo Simba imeshawahi kuandika histori ya kuchukua makombe. Kwamba Yanga hawataki kuanza na kombe msimu huu? Si kweli.
Sawa.Nipo apa sit ya mbele
Umri umeenda, na nguvu hana.Leo ndo siku ambayo Uto wanaenda kumkataa Skudu mwakalebela
Itakuwa hivyo!!Bangala ana injury?
Au ndio sheria ya mkataba inambana?
Ngoja tuoneUmri umeenda, na nguvu hana.