FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Lakini mtoto huyu anabebeshwa juice za timu
20230809_113950.jpg
 
Afadhali abebeshwe hizo juisi, anaweza hata akachomoa mbili tatu akanywa, kuliko kule alikuwa anabebeshwa jezi na mipira ambavyo hawezi kuvila
Kwahiyo ndio sababu siku hizi ana tumbo kubwa kama mgonjwa wa safura?
 
Mgonjwa wa kilibatumbo akapiga shuti hata moja on target njoo uniombe hela ya matumizi.
Sasa unapotoa ahadi usiweke masharti. Sema utatoa hela, sio nikuombe hela, maana kuomba unaweza kukataa au kukubali
 
Back
Top Bottom