Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa anaruka ruka tuNgoja tuone
Hakika, hii ni utangulizi tu.Mechi muhimu ni kesho lakini
Sawa.
Mpira upigwe, Azam ashinde
Woyooooooooo Azam 3-0 utopolo
KaribuNitakuwa apa baada ya dakika 90 kukujibu mkuu
Yaani ukishaona kivuli tu jua kbsa kuna kitu hakipo sawaMbona uwanjani ni GIZA?
Kawa wa moto sanaHuyu ngushi unaweza kudhani mayele
Kabisa na Leo ndo atawapa simanzi ndugu zenu [emoji41]Huyu ngushi unaweza kudhani mayele
Hizo rastaKawa wa moto sana
Kabisa Kalia ni Teja huanda hua anakaliaKama sio hila za Karia shughuli ilikuwa inamalizika leo