FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Na Morrison ndio hayupo, tuna winga gani mwingine wa kushoto?
 
Jiandae ukiwa huko huko
Nyie AzamFc hebu wafungeni hao Utopwinyo 2-0 ili kuleta utulivu huko Tanga. Ni mimi Greatest Of All Time, Shabiki nguli wa AzamFc kwasasa nikiwa Niamey, Niger.
Jiandae ukiwa huko huko,wenzio wanakalishwa huku mapema kabisa 😂
 
Huyu Sikide kapiga freekick tamu sana.

Diarra ni kipa
 
Azam nao sijui walitaka kujichanganyaje pale
 
Back
Top Bottom