FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Nipo emotional [emoji3], tushinde tuu jmn[emoji172][emoji172][emoji172]
 
Huyu Nzengeli ni kama robo hivi ya Luis miquissone
 
Azam walianza vizuri ila now wamepunguza pressure kwenye eneo la mwisho.

Walianza kwa ku press lakini saizi nikama wamepoteana timu imekosa plan
 
Back
Top Bottom