FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Azam walianza vizuri ila now wamepunguza pressure kwenye eneo la mwisho.

Walianza kwa ku press lakini saizi nikama wamepoteana timu imekosa plan
Wanacheza kwakupania sana.wamekosa utulivu.
 
Back
Top Bottom