Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Uto ulimi nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa!!!Baaada ya mechi nitarudi kwaajili yako
TuliaAzam hatoboi
Karia na wenzie, wanaharibu mpiraBonanza za kijinga zitaleta injury sana, ngao ya hisani ilitakiwa mechi Moja tu,,shenz
Unadhani kila timu ni ya kupigwapigwa na Azam?Uto ulimi nje
Wanacheza kwakupania sana.wamekosa utulivu.Azam walianza vizuri ila now wamepunguza pressure kwenye eneo la mwisho.
Walianza kwa ku press lakini saizi nikama wamepoteana timu imekosa plan
Wahurumie kwanza azam kipindi cha piliHaier ipo Mgongoni...! Huu mkataba Wmeingia lini..?
Subiri kipindi cha pili mkuuKweli Mayele hayupo aisee
Kwenye soko pia umo?Natamani sana feitoto apate bao.