FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

nilicho ona so far, hapa hatuna kocha yanga, the poorest yanga in 2 years. huyu atuache tu.

hizi pasi fupi fupi since when 🚮🚮🚮
 
Hivi kwanini huwa mnajitia loki za kifikra?

Kama bibi'ako na mama'ko hawaelewi kuhusu soka usifikiri ndiyo mama na bibi za wenzako wapo kama wako.
We nawe kwa spana tu haujambo yaan mtu akitokeza mbele yako unamshishia spana, habari za mahabusu lakini
 
Kufungwa na Yanga hii ni sawa na kung'atwa na mbuzi ni kichekesho [emoji23][emoji23]
 
Yanga imebadilika sana kwa kweli.
Huko CAF kwa mchezo huu, wataishia mwanzoni mwanzoni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…