Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Yanga wangekuwa na mshambuliaji makini wangeshafunga. Kipa wa Azam anafanya makosa mengi sana.Yanga anashinda hii game kirahis sana .
Azam sio level ya yanga Mpira uko waz kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wangekuwa na mshambuliaji makini wangeshafunga. Kipa wa Azam anafanya makosa mengi sana.Yanga anashinda hii game kirahis sana .
Azam sio level ya yanga Mpira uko waz kabisa
Wacha uchawi mkuuMsauzi afrika Scudu kaona mambo magumu akaona ngoja ajivunje mapema akale bata nje.
Wachezaji hawa wa madina ndio zao, kacheza kidogo kajivunja kampidha Ngushi, hii ngoma nawapa asilimia kubwa azam kushinda, labda washindwe wao t
WIVUChupa na kizibo vimekutana
tuombe tukutane na timu yako ndo utajua ni wazuri ama hapanaSi kwamba YANGA ni wazuri sana, ila AZAM wamekosa utulivu..
dogo kasha potea kabak jinaFei kakamia mechi mpaka anapoteza ubora wake.
Mkuu, ndio maana ukocha wanasomea. Timu haipangwi kwa kuangalia majina tu,balance ni muhimuMazoezi, ok. Lakini kumbuka Kuna class. Aendelee nao hao wachezaji wake aone Kama hata September anafika
Ubora upiFei kakamia mechi mpaka anapoteza ubora wake.
Ana kituNgushi ni Yipe mwenye NIDA [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri linakujaFeitoto bado hajapata bao?