FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Msauzi afrika Scudu kaona mambo magumu akaona ngoja ajivunje mapema akale bata nje.

Wachezaji hawa wa madina ndio zao, kacheza kidogo kajivunja kampidha Ngushi, hii ngoma nawapa asilimia kubwa azam kushinda, labda washindwe wao t
Wacha uchawi mkuu
 
Mazoezi, ok. Lakini kumbuka Kuna class. Aendelee nao hao wachezaji wake aone Kama hata September anafika
Mkuu, ndio maana ukocha wanasomea. Timu haipangwi kwa kuangalia majina tu,balance ni muhimu
 
Gamondi ana kila dalili za kutokula Krismasi Tanzania [emoji23]
 
Back
Top Bottom