FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Ni sahihi. Sijui shida nini?
Idadi ya camera ni chache sana. Kiasi kwamba camera moja inatumika kuchukua tukio moja. Wakati kiuhalisia, tukio moja linatakiwa kuchukuliwa na camera zaidi ya moja, kwenye angle tofauti tofauti, hivyo kupelekaea view kuwa nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…