permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mbona Azam wakicheza na Simba huwa hatuoni hii tunaita "small team mentality" ? Yanga waliikamata gemu haswa, umaliziaji ndio bado pana shida, labda huyu Hafidh tumuone ndio tupate picha halisi.Small team mentality unaiona kabisa makosa binafsi wanayofanya mabeki tofauti na Yanga,
Hiyo hali ndio iliyokua inavikuta vilabu vyetu tukicheza na kina Al ahly, Wydad, nk mnakua na kitete mnafanya makosa binafsi mara beki karudisha pasi kwa kipa inakua fupi mnafungwa.
Hicho ndicho walichokifanya Azam jana
Azam ilivyocheza jana ndiyo kiwango chao halisi.Na kwa uchezaji huo wangecheza na Simba,Simba angekufa tu.Azam Wasiogope kuuza wachezaji na Kusajiri wengine Dirisha Bado liko wazi, Chukua Djuma Shabani, Chukua Banda, Chukua Morrison, Tafuta kipa mzurii, na wengine, Uza TakaTaka zote walizo nazo
Ni kama Hawajafanya usajiri wala hawajakaa Pre season, Yanga ilikuwa Mbovu lakini Azam Ilikuwa Mbovu zaidi.
Robertinho akicheza kesho hivii aishe huko huko Tanga
Hii Azam ikikutana na Simba mwamba Prince Dube lazima awakande dabo kama kawaida yake
Yes, they can beat Simba, but hawawezi chukua makombe sababu ya hiyo mentallity yao.Mbona Azam wakicheza na Simba huwa hatuoni hii tunaita "small team mentality" ? Yanga waliikamata gemu haswa, umaliziaji ndio bado pana shida, labda huyu Hafidh tumuone ndio tupate picha halisi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Duh! Na uzee wangu wote kuna mambo sujayajua!! Kumbe na kocha hua anaingia uwanjani kucheza[emoji849]Azam Wasiogope kuuza wachezaji na Kusajiri wengine Dirisha Bado liko wazi, Chukua Djuma Shabani, Chukua Banda, Chukua Morrison, Tafuta kipa mzurii, na wengine, Uza TakaTaka zote walizo nazo
Ni kama Hawajafanya usajiri wala hawajakaa Pre season, Yanga ilikuwa Mbovu lakini Azam Ilikuwa Mbovu zaidi.
Robertinho akicheza kesho hivii aishe huko huko Tanga
Kwa nini umewaza hivi mkuu?
Are you OK? π³π³π³
Shoga hiloβ¦Kipa katokaKwa nini umewaza hivi mkuu?
Are you OK? π³π³π³
Kule alipofungwa goli nne akaona asipofanya jambo ubao utasoma 17-0, kama robo robo fc alivyopigwa 17-1 na Galatasaray. Akaweka mpira kwapani.huko Tunisia walienda kufanya nini?
Nilikua naangalia ila ndo mfunge dkk ya 80 kotr huko...
Naona nyinyi mliwafunga Singida mapema tu dakika ya tatu!Nilikua naangalia ila ndo mfunge dkk ya 80 kotr huko...
π π π π π π€£Naona nyinyi mliwafunga Singida mapema tu dakika ya tatu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]