Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Azizi ki *****
*****
*****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahhhahhAzam msimu huu nafasi ya tatu wapambane sana
Jamaa akilenga goli vizuri kutikisa nyavu ni uhakika.Aziz K. Nilihisi tu akija mpigaji Azam wanakaa. Tatizo la Yanga lilikuwa mfungaji.
MnoAzam ni wasengerema sana
Na Raha ya bao lichelewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote anayejua anajua tu. [emoji1787][emoji1787]
Ya mwaka jana. Mwaka huu siioni ikitoboa popote pale kimataifa.CAFCC' first runners' msimu uliyopita unamuita wa 'mchangani' ?
Azam ni wasengerema sana
Aziz anajua.nadhan kuna mambo tu yanamkwamisha kuonyesha ubora wake.Aziz K akicheza hata kwa 80% ya alivyokuwa Asec hamna atakeye mkaribia.
Athari za kula urojo miezi kadhaa bila kuingia uwanjani!Fei washampiga misumari akina mzee Mpili[emoji16]
Kabisa yaani Mkuu. 🤣🤣Na Raha ya bao lichelewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh 😂😂😂 Yanga imemfunga Azam na Feisal...Lakini maslahi yake yaliyoboreshwa si yako pale pale?
Acha hiyo hofu Yanga haijakaa sawaSifurahii huu ushindi nina hofu sana na kukutana na simba
Mkuu nina mashaka na uelewa wako we ye mpira. Sijaelewa point yako ni ipi hapa, kwani Azizi Ki hajawahi kuanza alaf akawa anazingua uwanjani?.Class!!!