Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote mtoto yake nepi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote mtoto yake nepi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WameniudhiHii timu ni halali ikimbie mechi
Yanga ni zaidi ya timu 😁Waliongea yote wakamaliza. Wakasahau kubakiza akiba...
Yanga hii ni zaidi ya msimu uliopita mtapata tabu sana...
Hatubakishi kombe
#Since 1935 💛💚
Azam hamna mabeki....Azam ilikatika muda mrefu kabisa..
Lakini kocha hakuna akili yoyote
Eti jitu na akili zake kabisa linaacha kushabikia Yanga dah!Waliongea yote wakamaliza. Wakasahau kubakiza akiba...
Yanga hii ni zaidi ya msimu uliopita mtapata tabu sana...
Hatubakishi kombe
#Since 1935 💛💚
Masikini Feisal.....😔😔😔Azam ni ileile
Anasonya Tu [emoji28][emoji2]Hahaa Yanga Basi inatosha , Fei Kula Chuma hicho!! Kivumbie Leo.
Hamna mabeki, Hamna Kipa, nadhani tuseme hamna teamAzam hamna mabeki....
Azam wana mihemko.timu inacheza kwakukamia bila akili.wanaruka ruka tu bila maelewano.Jamaa akilenga goli vizuri kutikisa nyavu ni uhakika.
Hii Azam imeimbwa sana ila bado.....
Allasane ni kama joka la maonyeshoKutoka kwa SOPU mbele hakuna kitu..