FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

Kocha amewagharimu sana Azam. Aina ya kikosi alichoanzisha na hata mbinu zake za mchezo kiujumla.
Mwalimu ameshindwa kubadilka kimbinu kulingana na matakwa ya mchezo..!
 
Mkuu nina mashaka na uelewa wako we ye mpira. Sijaelewa point yako ni ipi hapa, kwani Azizi Ki hajawahi kuanza alaf akawa anazingua uwanjani?.

Timu inapangwa kulingana na performance ya wachezaji, na sio tu majina
Basi niko na argue na kiazi hapa. Bye!
 
Back
Top Bottom