FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

Kwa dakika hizi walivyocheza Simba, kunaweza kutokea surprise nyingine leo kama Simba hawatobadilika
 
Simba na Yanga zote mbovu, Azam na Singida wakizichanga vizuri wanachukua ligi kuu
 
Hamna kitu ...
Aibu tupuu..
 
Elvis Rupia Baranga akitulia tu.
Kitu kinawaka hapa
Singida wako poa sana
 
Timu ipo usingizini lakini bado inawapelekea moto kinoma halafu mnabweka hapa eti mna timu. Mkicheza na nyinyi mtakuwa usingizini😃😃
 
Simba Eswatini wako kibao sana
 
Simba tunawafundisha game za Kimataifa zinachezwaje.
Wilson Nangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…