FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

Mechi tunaongoza 1 bila, lakini hawa Azam TV watuonee huruma na hizi camera zao

Zinatutesa sana watazamaji wao, utadhani camera za hizi Online TV 🙌
Mie nikajua ni waya wa HD chomoa chomeka, hamisha waya nyinge labda kuna magnetic fields lkn wapi.

Sema vile wao ni kama sisiemu, hatuna cha kuwafanya
 
Timu inaitwa FC Usingizini! Utegemee iamke mchezoni!?

Ikiamka.. ...kutakuwa kumekucha kwa simba
 
Huu ndio ukubwa wa Simba. Away ushindi wa 3 bila. Safi kabisa.
 
Azam mara nyingi wanawafanyia Simba figisu na hili tuliwahi lidiscuss humu. Hiyo sio mara ya kwanza.
Nafikiri walikuwa hawarushi hii mechi moja kwa moja. Kuna wakati mitambo ilivyokuwa inakorofisha nikaona maandishi yametokea ghafla kwenye kioo yameandikwa Eswatin TV. Huenda walikuwa wanaruka kupitia hii Eswatin TV ndio ikawa sababu ya picha kuwa mbovu
 
Mashabiki wa simba walikuwa na shangwe kuliko mashabiki ambao huwa wanajaa kwa mkapa.
Nimependa walivyokuwa wakitamka inakuwa😁
 
Una chochote kipya cha nyongeza?
Ndio ninacho, Simba wameshinda goli tatu baada ya kubadilika. Japo sio kipimo sahihi kwa Simba ila timu imeonesha mabadiliko chanya kwa kocha hasa kwenye ufanyaji wa sub na transition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…