FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

Hii ni kawaida ya Azam kwa mech za Simba na matukio yanayohiusu hiyo timu.
 
Wewe ndio umelewa au hangover ya Vunga Chizi?Aliyepigwa wa Botswana kweli au Malawi ?
Hapana ila lazima ukweli usemwe sasaa nsingizini kweli nayo ni timu au kilabu cha walevi
 
 
Nimepatia, imekuwa kweli nsingizini imekula chuma tatu bila hukohuko kwao
 
Hata Yanga ni jina baya ni basi tunaliiona normal kwasababu tumelizoea
Inaitwa Young Africans maana yake Vijana wa kiafrika
Hilo Yanga ni waswahili wenye timu yao huko Pwani yaani maustadh ndio badala ya Young wanatamka Yanga

Yanga inaongozwa kwa dua za kiislamu,Hakuna ukristo Yanga

Fuatilia mazoezi yao na hata mikutano yao toka enzi inaongozwa kwa misingi ya kiislam
 
Humuu tuuu
Humuu tuuu
Humuu tuuu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama mnaendekeza udini,.basi endeleeni kukandwa hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…