FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | 28 Februari, 2025 | CCM Kirumba

Hakuna mechi hapa, next season tff angalieni hili la mdhamini mkuu kudhamini timu zaidi ya moja.
Kilio cha mbaazi akikosa maua.

Unaonaje wewe ukidhamini mojawapo ya timu hizo na kuizuia kutangaza biashara za GSM.

Watu wajinga wengi kama wewe wanadhani wakiona tangazo la GSM kwenye jezi za timu basi wanaamini kuwa GSM keshainunua timu ile. Je matanganzo ya GSM kwenye viwanja vyote ina maana kuwa GSM keshanunua viwanja hivyo?
 
Ila hawa Pamba wana kitu, hilo goli la Yanga ni ujanja wa wachezaji tu wala hakukua na mpiga freekick pale. Walimchanganya kipa wakafunga maana mbinu zote zilifeli.

Kama watacheza vizuri wanapata sare.
 
Hawa wajinga wangekamia robo tu ya walivyomkamia mnyama wangepata matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…