Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheza na matawi yako halafu unatishia nyau we kweli mwiko nyumaTarehe 8 usikimbie jukwaa hapa
Zamu yako iko njiani Mtani. 🤣🤣Daah yaani mnashinda na kutuzomea🤣🤣
Hatukuona kule CAFCL ambako hakuna maelekzoYaah sure ndio hiyo huitwa uwezo binafsi wa wachezaji
Weka kikosi kwenye Post number oneKikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji🔰💪🏽
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwikoView attachment 3253000
Mmeanza kutoa milio dadeki....Hakuna mechi hapa, next season tff angalieni hili la mdhamini mkuu kudhamini timu zaidi ya moja.
Tarehe 8 mje kwa wingi kwenye uzi na msijifiche maana tuna jambo letuZamu yako iko njiani Mtani. 🤣🤣
huyo sowah mashindano ya CAF kwa ujumla ana magoli mangapi na assist ngapi compared na huyu kibu mkandaji?
😃😀Admin itakua kolo,match za makolo uwa fasta anabadilisha ubao,leo mpaka sasa hivi Yanga 3 lakini ubao bado unasomeka 1
kuna namna hii mechi inaonyesha
Either yanga ni mzuri sanaa au soka letu lina safari ndefu sana
Hahahaa. Ifike tu hiyo siku Mtani tuone panapovuja.Tarehe 8 mje kwa wingi kwenye uzi na msijifiche maana tuna jambo letu
😃😃😃
Astaghafirullah 😃 😀Filbert Bayi
Niko poa, tuombe mungu tarehe 8 navunja ukimya🤣🤣Hahahaa. Ifike tu hiyo siku Mtani tuone panapovuja.
I hope uko mzima pia.
Tishaaa......PAMBA 0 VS 3 YANGA
Hersi yuko pangani anawanga ukimya gani utavunja mwana simba wewe 🤣Niko poa, tuombe mungu tarehe 8 navunja ukimya🤣🤣
Kibu yuko bize kukanda waarabu hana muda na mechi za maelekezo na uchawiNaskia kibu saivi anakanda Mandazi