Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hapakuww na sababu yoyote. Nafikiri kocha alitaka ampe nafasi Raly Bwalya lakini amefeli. Second half sub ifanyike mapema sanaMkuu , hiv kulikuwa na sababu yoyote ya kutomwanzisha chama kwenye mechi hii?? Wengine tunaweza fikiria kuwa Ni kwa sababu ya mechi ya kimataifa dhidi ya pirates,, Sasa chama naye Kuna sababu gn ya msing??
Ikipatikana tunapiga unafikiri ndo kusema tuache eti kisa kuna wapambe walisema penati ni kubebwa?Hakuna timu hapo, tusubiri penati tu
we gon cLeo hamchomoki.
Hadi sasa msha pata penati 7, mmepata 2 na leo mnaweza pata ya mchongo piaIkipatikana tunapiga unafikiri ndo kusema tuache eti kisa kuna wapambe walisema penati ni kubebwa?
Na hazitutoshi kama kuna zingine ziletweHadi sasa msha pata penati 7, mmepata 2 na leo mnaweza pata ya mchongo pia
Si mtumie kiswahili tu ya nini yote haya?Kikosi cha kucheza mechi ya ligi kinapangwa hivyo SEROIUS
Simba hili kombe wameshalikatia tamaa kabisa.
Simba leo iko hovyo kabisa ni polisi wenyewe tu.Simba anaweza kulala hii game kwa dharau waliyoanza nayo.
Sijuagi nini Mhilu hufanya kwa ground
Huyu kocha boya sana. Bahati yake siku siku hizi tofauti na enzi zetu za kutembeza mikwaju mitaa ya msimbazi huku mkama shapu akitupa sapoti kiaina.Mkuu , hiv kulikuwa na sababu yoyote ya kutomwanzisha chama kwenye mechi hii?? Wengine tunaweza fikiria kuwa Ni kwa sababu ya mechi ya kimataifa dhidi ya pirates,, Sasa chama naye Kuna sababu gn ya msing??