FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Hizo imani zako za kiboya simba haina usoro km huo.ila uwezo wa wafungaji tu ndio ovyo na kikosi kilichopangwa ovyo. Mwalimu kaacha kuwatumia wachezaji baadhi ili.kuwa linda na majeraha kwa ajili ya mechi ijayo.
Sawa mkuu.
 
Mmekosa magoli mengi! Pablo hana kosa lolote!
 
Kwanini Pablo na sio mugalu!???
Simba haina wafungaji aisee hilo tuliweke wazi. Nafasi tatu mtu mmoja anakosazote tena ndani ya boksi ya kipa. Huyu mugalu mkataba asiongezewe haaahhh anafungaga kwa mazali
 
In
 
Nitamsamehe huyu muispaniola Pablo iwapo tu angalau tukifika fainali ya CAFCC

Tumemaliza rasmi safari ya ubingwa ligi kuu [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…