FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Ila jamani Africa soka bado sanaaaa.limejaa uhuni figisu.
Hivi kwanini sisi weusi tupo hivi? Mbona wachezaji wetu huwa wanaonewa sana?
 
Usm Alger alichukua ndoo mbele yako kwa ushindi huo huo usio wa uhakika.

Moral of the story: cheza kwa kuangalia malengo.
Usijifananishe wewe na USMA.
USMA alikua na watu kijana.
Wewe una watu gani wa kutikisa back line ya Berkane!?
Acha utani.
Tupo hapa kitakukuta kama cha CS Constantine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…