FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Usijifananishe wewe na USMA.
USMA alikua na watu kijana.
Wewe una watu gani wa kutikisa back line ya Berkane!?
Acha utani.
Tupo hapa kitakukuta kama cha CS Constantine.
Wewe ndio usijifananishe na Berkane.

Usma alikuwa anapambania kutocheza play off

Berkane ni bingwa.

Goli 2 kwetu ni advantage
 
Nini hiki, mbona unaweka habari bila maelezo.
Hata link hujaiona ukapate habari huo uvivu wenu wabongo ndo unafanya mnaibiwa kodi zenu mchana kweupeeeeeee na wala hamjali nko bize na mpira tu
 
Leo mnakuwa single maza, kwa show wanayowapelekea…!! 😹😹
Thimba wanazingua bwana wanapoteza mipira kwenye nusu yao hovyo hovyo. Kocha nae hafanyi substitutions basi shida tuu. Kweli leo nikulala na mbupuz zetu.
Bora ata sikupaka vumbi la congo
 
Huyu jamaa aliyejiangusha alipaswa apewe kadi.
 
Wewe ndio usijifananishe na Berkane.

Usma alikuwa anapambania kutocheza play off

Berkane ni bingwa.

Goli 2 kwetu ni advantage
Mimi nina uwezo wa kujifananisha na Berkane kwa kikosi nilicho nacho.
Wewe una kikosi gani Cha kuifungua back line ya Berkane!?
Si bora USMA alikua na watu?
Tupo hapa tutakumbushana.
 
Naomba kuuliza, ikitokea simba home kashinda 2 then mpinzani 1. Je anatoka? Au Simba 1-0 Berkane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…