FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

🚨#UPDATES:- Taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wa Simba SC pamoja na viongozi kwenye benchi la Ufundi wameahidiwa kiasi Cha Tsh Billion 1 endapo watafanikiwa kutwaa taji la Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Inaelezwa kuwa kiasi hicho kimeahidiwa na maboss wa Simba SC wakiongozwa na Mwekezaji Mohamed Dewji, Wadhamini wa timu hiyo pamoja na viongozi wa kiserikali.

Timu hiyo inatarajiwa kupambana na RS Berkane usiku wa Leo kwenye fainali ya kwanza ambayo itapigwa kwenye uwanja wa Stade Municipal de Berkane huko nchini Morocco.

#Sanuka_Updates
 
Nenda Mnyama Ukaandike Historia mpya ya soka Tanzania
The world is yours to conquer
 
Hizi ni kumbukumbu nzuri sana zinatakiwa kutunzwa katika.maktaba ya klabu. Vizazi na vizazi ambao watakua wapenzi wa Simba sports club vinavyokuja.vishuhudie
 
Mwanaume Gani anaweza kua na mwanamke mchawi?
Kwa kua wewe ni mwanga una nafasi ya kuolewa na mganga ili umsaidie kwenye shughuli za kuinua kipato chenu cha familia. Mkalie kitu kizito...simba wa mjini ni wa kwenye zoo tu!
 
Parefu, Wasitoke tu mchezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…