Uwepo uwepo MtaniNipo hapa hadi mwisho, wenzio wanasubiri hadi mshinde
Nipo sanaUwepo uwepo Mtani
😅😅😅 nyie mpo kwa Mayele tu. 😅😅Hatetemi mtu leo
Haka katimu kamekamia mechi! Ukijumlisha na aina ya uwanja, hata tukipata tu sare siyo mbaya.Ila kaze sub zake bwana...inaonekana hapendi yanga kuchukua ubingwa unbeaten.
Anajifanyaga kujaga na mitazamo yake tofauti na Nabi halafu akipoteza mchezo anaanza kujiuma uma kama mwanamke.Niliulza kwamba kaze anamshauri nini Nabi?
Basi sawa. Ruvu Shooting 1 - Yanga 0!Ruvu wamenyimwa goli lao halali kabisa.View attachment 2211485
Sasa kumbe unaona timu imekamia mechi alafu mapema tu unafanya sub ya kuwaingiza wachezaji ambao wanakaliaga benchi na hawana match fitness ili waje wakupe matokeo sasa si ni kubet huku.Haka katimu kamekamia mechi! Ukijumlisha na aina ya uwanja, hata tukipata tu sare siyo mbaya.
Mbaya kufungwa.
Angekuwa ni mchezaji wa zamani wa Yanga, tayari tungeambiwa GSM katoa bahasha ya kaki.Red card
Ruvu wanacheza pungufu
Ila anafanya kaz nanyiSio kocha huyu jamaa
Njaa amaTunashinda kua na amani