FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Hao ni binadamu ndugu sio mashine, na ujue mpinzani naye anadhibiti mianya vilevile. Mnadai mno matokeo wakati ni mechi ya kwanza ya kujaribu wachezaji na mbinu. Kuweni na subira.
Mbona umejaa upepo. Kimsingi, anahitajika striker mwingine pale mbele.
 
List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya
Hii ni list rasmi inayotumiwa na CAF kupanga pots za timu zinazotakiwa kuanza raundi ya kwanza badala ya awali, na pia huitumia kupanga pots za timu zilizoingia katika ggroup stage. Kama huamini, itunze tu halafu mwezi ujao tu utaona ratiba ya CAF Clubs itakapotoka
 
Uko sahihi kama ambavyo TP mazembe aliwah kuchukua CAFCL, hii kwa neno moja huitwa historia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usije achwa tafadhali, nguvu niliyonayo hapa ni ya vigelegele tu mama angu..!!
 
List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya
Wewe kweli hauko up to date yani mcheze shirikisho mtake kuwa klabu bingwa?
 
List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya

Mkuu umeanza lini kufuatilia mpira wa Africa??
 
Tusubiri wiki ijayo simba day tuwaone nao.Yanga sijui watapangaje kikosi..timu mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…