FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Show ya Chino inatuumbua maana kashuka chini ya steji hivyo camera inatupa wide, uwanja mweupeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi wasanii wa bongo ni kwamba hawajui kuperfom kwenye Viwanja Vya Mpira au ni Setup mbaya?
 
Endelea kuukatia mauno tu, wewe si ulisema upo uwanjani?

Tulia kwenye Runinga yako angalia show, game ni saa moja usiku pimbi wewe.
Na kuhonga mkahonga camera man asichukue uwanja mzima mkaja kuumbuka padogo sana [emoji16]
 
ngoja tuangalie mda wa mechi maan hapa nimepishan na costa mbili zinaelekea uwanjan
Watu wa mpira hawana muda ni hizi show za Bongo fleva, watu waliopo nje kwenye pub za kwa chichi na zilizopo nje ya uwanja ni Mtiti, wao wanachotaka kuona ni utambulisho na special game na Kaizer chief.

Hao waliojaa saa hizi wengine ndio outing zao hizo na siyo walevi wa pombe, watu wa tungi huwapati hapo saaa hizi hata kwa bakora wapo nje ya uwanja.
 
Mdogo mdogo utajaa tu mtani!!

Ungeona masaa mawili yaliopita ungelia mtani[emoji1787][emoji1787]
Hata kama utajaa baadae, tamasha limefeli mlitakiwa mjaze mapema,, hata vybe sio kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…