KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Akili zako tu ni za ki kingdom monera maana binadamu mwenye akili timamu hawezi ongea hizo pumba unazoongea.Mk
Mkude hawezi kushine simba sababu Hana kiwango pale simba wachezaji wengi Wana viwango vya juu, mkude atashine yanga penye vilaza wenzake
Mkude amedumu simba miaka mingapi akiwa katika top pafomansi.
Viongozi wenu tu wanauheshimu mchango wake ndani ya simba sembuse wewe kalio la kajala.