Sifa zako kwa Silver strikers zinatokana na mapungufu ya kocha Folz. Hapa angekuwa kocha mwenye kujielewa hawa wangeshalala kwa goli mbili first half. Yanga haina kocha, kaishaibomoa timu kwa kushusha viwango vya wachezaji.Kipindi cha pili kocha wa Yanga anatakiwa kumtoa Andy Boyeli, maana ndani ya dakika zote 45 za kipimdi cha kwanza hakuna alichokifanya pame mbele.
Na pia angemtoa kiungo mmoja kati ya Mudathir Yahya Abbas, au Mohamed Doumbia kutokana na ukweli kwamba viungo wote wawili wanacheza mchezo unaofanana. Na badala yake angeingia Duke Abuya mzee wa kazi kazi.
All in all, nawapa pongezi Silver Strikers kwa kucheza vizuri, na pia kwa kufanikiwa kuwadhibiti Yanga (hasa eneo la kati) ndani ya dakika zote 45 za kipindi cha kwanza.
Injinia wako Hersi ana imani naye sasa! Tunafanyaje?Sifa zako kwa Silver strikers zinatokana na mapungufu ya kocha Folz. Hapa angekuwa kocha mwenye kujielewa hawa wangeshalala kwa goli mbili first half. Yanga haina kocha, kaishaibomoa timu kwa kushusha viwango vya wachezaji.
Comrade, unasemaje timu haina mwalimu!Hii timu ni kama haina mwalimu.
Unafanya usajili mkubwa wa wachezaji halafu unaleta kocha wa hovyo.Wachezaji wengi viwango vinaporomoka kwa kasi, ukurupukaji mwingi kwa sehem kubwa ya wachezaji, sehemu ya kutoa simple pass ana dribble, sehem ya ku shot anapiga chenga anapoteza, na kocha yupoyupo tu anakenua, hovyo yan[emoji706][emoji706][emoji3]
Yupo kwa maana ya kujaza nafasi ila ni zero impact.Comrade, unasemaje timu haina mwalimu!
Mwalimu yupo. Anaitwa Romain Folz! Ni mwalimu kijana kabisa mwenye umri wa miaka 35.
Takataka hamna kitu hapa.Comrade, unasemaje timu haina mwalimu!
Mwalimu yupo. Anaitwa Romain Folz! Ni mwalimu kijana kabisa mwenye umri wa miaka 35.
Injinia atakuwa amempa mkataba huyu jamaa ili awe anamburuza kadiri apendavyo! Ila siyo kwa CV yake. Timu iliyoajiri kocha kwa kuangalia CV yake kwa msimu huu ni Azam na Singida Black stars pekee!!Yupo kwa maana ya kujaza nafasi ila ni zero impact.
Yaani Eng Hersi aoni aibu kupewa vyeo FIFA na CAF halafu timu yake inaonekana ni bovu hivi.Silver strikers tu wanatupelekea moto na kututia jambajamba hivi.
Vipi tukikutana na the likes of Pyramids and Mamelod?
Kazi tunayo na kocha letu la kuungaunga.
Kwa kifupi Yanga imekufa.Yaani Eng Hersi aoni aibu kupewa vyeo FIFA na CAF halafu timu yake inaonekana ni bovu hivi.