FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

Uto wakipigwa nasikia raha zaidi ya kuikojolea😂😂😂😂😂😂
 
Uto walizani malawi kuna vitonga , piga ayooo
 
Reactions: BRN
Makocha wote waliopita Yanga sijawahi kuwa sina imani nao kama huyu😅😅 Folz ni tapeli yani kanifanya nione Yanga nzima haiko serious..
Meza ya kupindua na nani? Hamna kocha hapa
Bado tuna dakika nyingine 90 za kupindua meza. Ila hapa tungepata hata sare tu, ingetusaidia.

NB:- Ila huyu kocha huyu!!
 
Yan ucheze caf ukiwa attacking full back ya Boka ? Beki anae zan kukimbia na kupiga cross ovyo ndo unyama😂
 
Ikiwezekana Kocha akatiwe tiketi ya Air Malawi siti bado zipo arudi kwao.
 
Mara ya kwanza alisemaje mama naumia🤣🤣🤣
 

Attachments

  • ze_commedy_wamenitafuna_kwa_mbinde_h264_55020.mp4
    1.9 MB
Hii team inatakiwa ipate heavy weight coach, nadhan wangerudi tu kwa Nabi, sioni kama kuna shida,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…