FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

[emoji881][emoji881][emoji881]
[emoji3590][emoji833]
[emoji120][emoji120][emoji120]
Hallah
 
Kelele na majigambo yalikuwa mengi, hatimaye umefika wakati wa mbivu na mbichi kujulikana.

Hapa nyumbani kipigo hakiwezi kuleta sifa nzuri kwa Taifa, jitahidini watani.

Mdakuzi hizi ndizo zilikuwa mechi zetu za kwenda b…
Yes! Muda wa maneno umeisha, muda wa maandalizi umeisha. Sasa ni vitendo vya uwanjani. Lazima Ahly afe kwa heshima.ya Taifa letu.

Ova
 
Poleni sana watani na kilichotokea vigwaza.


Kila la heri kwenu mshinde,ila msije shinda na njaa,jikazeni basi
 
Mkuu Kwani kuna faida gani mtu anapata kwa kuwa wa Kwanza kuanzisha thread hapa? Maana naona inakuwa kama vita hivi, au mnalipwa ili na Sisi tuchangamkie hiyo fursa
Binafsi nakubaliana sio kila mtu kisa amewahi kuanzisha basi aachwe. Kuna watu tayari ni kama wabobezi humu, hata wakianzisha unapata update vizuri lakini pia wanauwekea nyama vizuri.
 
Unaanzisha uzi huna updates! Weka picha za uwanjani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…