FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Wana Siiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaaa
Siku ya leo ni ya motooo...
Bingwa wa Africa yanii timu namba moja kwa ubora Africa... na timu ya Tano kwa ubora Barani Africa wanakutana...miamba kabisa ya soka barani Africa...mchezo wa kufa na kupona...
Nawatakia kila la heri wana Simba wote....

HAIJAISHA MPAKA IISHE...
SIMBA NGUVU MOJA...
 
Saa ngapi kupute. Simba ikishinda leo na Yanga atashinda kesho. Simba ni role model wa Yanga kwenye mambo ya msingi ya kimatifa
 
Reactions: Tsh
TV za Taifa kama TBC wana haki ya kuonyesha hii mechi ingawaje Dstv pia wataonyesha kwa channel 295 ya kulipia Tsh 30,000 au Tsh 37,000 kama sikosei...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…