FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Haya kipindi cha pili ndio hicho kinaanza
 
Mabadiliko huko nani kaingia nani katoka??
 
Duuuuh kakosaaaa tenaaa babacar sarr, [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kipindi cha pili kimeanza Simba bado iko NYUMA kwa bao moja. Watanzania wenzangu tuiombee sana simba ichomoe huo MWIKO kwa heshima ya nchi. Tanzania sasa hivi tunahitaji timu zetu zote zifike nusu fainali.

Al Ahly siyo tishio vile kama inavyopigiwa debe. Percy Tau hana lolote
 
Back
Top Bottom