Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Ngoja Mangungu afanye usajili wa mshambuliaji hatari mno Samson Mbangula toka Prisons FC. Simba bingwa CAF 2024/25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kushindana na Nature.Mwenzio akinyolewa zako tia maji, ngoja tuone kesho itakuwaje kwetu.
Teh teh teh teh 😂😂😂 dah!...,kazi kweli kweli...kwa matusi niliyotukana leo kwa magoli mliyokosa, naomba hizi dhambi uzibebe wewe na wanasimba wenzio msimu huu wa Kwaresma na Ramadan,
Ahsante..!!
Sasa mgojwa kaugua miaka ukisikia kafa inashitua?Ki ukweli sijaumia....sijui kiroho hii imekaaje...
Unamuuliza nani?Ki ukweli sijaumia....sijui kiroho hii imekaaje...
Nyie mna timu nzuri, worry out.Mwenzio akinyolewa zako tia maji, ngoja tuone kesho itakuwaje kwetu.
Wewe huna akili, hiyo ni style Yao ya kucheza away game, subiri game ya Cairo utawakataa hao wachezaji wako.
Al Ahaly Wana style Yao ya kucheza kila hatua, wakianzia ugenini kwenye knock out hesabu umeshaondolewa Wanaongea mbele, hizi siyo mechi za makundi.
Mkuu watu kama hao sio wa kuwajibu, ukiwajibu ndio kuwapandisha.Mkuu kutumia ID feki isikufanye ukashindwa kuwa na lugha ya staha.
Kwamba jamaa aje akusaidie kukatikia nn vile.? 😂Hata nguvu sina leo njoo unsaidie best
Wewe ndo umeongea leo wangekuwa na wachezaji quality walikuwa wanapata hata goli 4Ki kweli ila quality ya wachezaji wa simba ipo chini huwezi kutaka kupanda mlima kilimanjaro kilele cha africa na singlend isee..
kama simba tunahitaji kufika mbali kwa haya mashindano basi lazima tuwe serious kwenye usajili wa wachezaji
Nilikuwa nina Hasira mpka nimechekaKwa hio misri wanaenda kuchezea offensive sana
Timu yetu haina ubora wa kupitia Alahly, timu haina striker wa maana, beki za pembeni zimechoka yaani tumeuza benzi tumenunua bajajAl hly hatuwawezi. Huu ndo uhalisia.
Ameshaweka rekodi kwanza kufungiwa 5 na vyura pili kushindwa kumfunga Al ahlyMangungu tuachie timu yetu
mangungu out una tuhujumu
mangungu ni kirusi