FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

IMG-20240328-WA0777.jpg

Washabiki wa simba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe huna akili, hiyo ni style Yao ya kucheza away game, subiri game ya Cairo utawakataa hao wachezaji wako.

Al Ahaly Wana style Yao ya kucheza kila hatua, wakianzia ugenini kwenye knock out hesabu umeshaondolewa Wanaongea mbele, hizi siyo mechi za makundi.

Watake Wasitake, Points 3 watazitapika....
 
Ki kweli ila quality ya wachezaji wa simba ipo chini huwezi kutaka kupanda mlima kilimanjaro kilele cha africa na singlend isee..
kama simba tunahitaji kufika mbali kwa haya mashindano basi lazima tuwe serious kwenye usajili wa wachezaji
Wewe ndo umeongea leo wangekuwa na wachezaji quality walikuwa wanapata hata goli 4
 
Back
Top Bottom