shindikana nammuduπ π π πTema nyongo mkuu, Atoto atanisaidia kuisafishaπ π
Wewe kama mimiMimi siwezi kuumia. Yaani kwakuwa mimi ni Simba ila Simba akiwa anacheza nayanga huwa nambetia mazima Yanga naweka kibunda.
Siwezi kuumia kotekote mimi bora niumie wakati nimepata Hela
Goli la refa
ππGoli la refa
Leo amefurahii sanaSitaki ephen_ hongera sna rafiki yangu kipenziπ€
Ulimwita maestro akaitikaKijili amejifunga
Wanetu kutoka mbeya ni wa 4 π π
Uzuri walipokuwa pale juu walijipiga self ya ukumbushoWanetu kutoka mbeya ni wa 4 π π
Exactly π― π πUzuri waliookuwa pale juu walijipiga self ya ukumbusho
Imecheza vizuri wapi, muda wote imeshikilia bombaLeo team imecheza vizuri, licha ya hili kosa la Camara na kijili . Sema pia Kayoko kawabeba sana Yanga.