FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Mimi siwezi kuumia. Yaani kwakuwa mimi ni Simba ila Simba akiwa anacheza nayanga huwa nambetia mazima Yanga naweka kibunda.
Siwezi kuumia kotekote mimi bora niumie wakati nimepata Hela
Wewe kama mimi
Na leo nilitabiri tunafungwa 1 bila 😃
 
Leo nimeenda kwa Bi Mkubwa kucheki mpira na kumsallimu pia...sasa yeye alikuwa jikoni kama dakika ya 49 hivi kaja ananiambia mwanangu "mbona naisikia kuna mchezaji naitwa Debora imekuaje tena kwani simba queen wanacheza" 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wadau Habari za jioni, Shida yenu ni wabishi kuamini pale munapoambiwa ukweli hii Game niliiona mapema sana kwamba Simba hana ugavi wa kuifunga yanga kwa Mazingira yoyote yale, Simba wamezidiwa Nje na ndani ya Uwanja

Mwamuzi alizidi kuwauwa Simba Goli Mpira umetoka, Goli la Simba limekataliwa, Penalty za Simba hawakupewa.



Hongereni Yanga KUWEKEZA kila Idara
 
IMG_3159.jpeg
 
Unaruka kama nyani kwenda kuurudisha ndani mpira uliokuwa unaelekea nje halafu watu wanaweka 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom