min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
shindikana nammudu😅😅😅😅Tema nyongo mkuu, Atoto atanisaidia kuisafisha😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shindikana nammudu😅😅😅😅Tema nyongo mkuu, Atoto atanisaidia kuisafisha😅😅
Wewe kama mimiMimi siwezi kuumia. Yaani kwakuwa mimi ni Simba ila Simba akiwa anacheza nayanga huwa nambetia mazima Yanga naweka kibunda.
Siwezi kuumia kotekote mimi bora niumie wakati nimepata Hela
Goli la refa
😂😁Goli la refa
Leo amefurahii sanaSitaki ephen_ hongera sna rafiki yangu kipenzi🤗
Ulimwita maestro akaitikaKijili amejifunga
Wanetu kutoka mbeya ni wa 4 😂 😁
Uzuri walipokuwa pale juu walijipiga self ya ukumbushoWanetu kutoka mbeya ni wa 4 😂 😁
Exactly 💯 😂 😁Uzuri waliookuwa pale juu walijipiga self ya ukumbusho
Imecheza vizuri wapi, muda wote imeshikilia bombaLeo team imecheza vizuri, licha ya hili kosa la Camara na kijili . Sema pia Kayoko kawabeba sana Yanga.