FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Hali ya Makolo
GZbOAurXcAAlkqU.jpg
 
Mkuu usiumie, kwa namna tulivyopata pigo la kufumua kikosi, na namna mpinzani wetu alivyojiimarisha ilikuwa ni ngumu mno kushindana nae, lakini angalau vijana wanaimprove kwa sasa, angalia tangu tupigwe goli 5 hii ni mehi ya nne magoli yanazidi kushuka, hii ni dalili njema sana kwa upande wetu na mbaya kwa upande wao, nasema hivyo kwa sababu wanazidi kushuka huku mashabiki wao wakikaza mafuvu eti hapa tunamfunga simba goli zaidi ya nne, tano, kumi na mautopolo mengine mengi wakati uhalisia wapo kwenye mtelemko.mechi ya leo kwa kiasi kikubwa tumeshinda kama sio refa na uzembe kidogo hapo kwa kipa na kajiri.

Any way kama kuna mwanasimba alijua tunashinda hii mechi ajue kazingua mno tena mno.

Kufikia hapa mimi naona tumeshinda, tuwape pongezi kuanzia kocha na wachezaji tulipita kwenye ugonjwa mzito sana kuja kutegemaa ni misimu kadhaa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu watakaokuja kukuuguza watakuwa na bahati sana.
 
Usikimbilie kutukana,mimi sizungumzii hilo goli mimi nazungumzia matukio kwa ujumla ya mechi.
Neno "kujitoa ufahamu" kwako lina maana gani,nimetumia lugha uliyo tumia ww unasema na kutukana.Ungoea mpira sio kutukana ukijitia mwehu tuna mailizana humu humu.

Haya sasa matukio kama Yapi?
 
Back
Top Bottom