FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Kama huyo moses philip ni mchezaji wa Simba basi kweli hicho kikosi hakiwezi kufika mahali. Bora wamrudishe Moses Phiri waachane na huyo Philips

Usiwe MSHAMBA Hata tukikuambia utaje majina yake 3 hujui.

Tunaojua unatupinga....we jamaa htr
 
Naunga Mkono hoja..tunao official wa kuanzisha Uzi zetu@Ghazwat na Okwiboban..huyu muanzisha huu Uzi hapana..mara anzishe wa Yanga mara huku..nooo
Unahangaika kama mbwa mwenye nyege
 
Nimeota Yanga anashinda moja goli likifungwa kwa uzembe wa kipa.#Tunzahiyo!
 
Kabisa..huwezi kuanzisha live update za timu mbili pinzani kwa wakati mmoja..hii ni zaidi ya kutoa live update ni lazima iende na Mapenzi ya timu.
Lete sheria ya jf inayokataza hilo.
 
M
Mkuu hapana..fuatilia Uzi zote za live update za Simba Zina watu wake official siyo kila mtu anaanzisha tu..hebu fuatilia tu.
Dogo acha kuleta porojo. Umeanza kutumia jf leo?
 
Picha za uwanjani zikwap mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…