FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

sana anakula hela akija bongo anakula kichapo toka jangwani
Sasa kichapo cha goli moja zaidi ndo kichapo??? Yani mm nina amani zangu kwa sbb siku ile mngefunga wwnyewe yani 2 kwa 0 hapo sawa yani tusingetikisa nyavu zenu kweli ila.na nyie mlilambwa tena cha mapemaa
 
Naona kama benchi la ufundi la agosto wanarumbana vile?.na kipara cha kocha kinatoka jasho
 
Refa amekua muoga kuliko Simba wenyewe, Kila jamaa wakisogea kwenye 18 ana piga firimbi zisizo na kichwa Wala miguu.
Mechi kama hii ilisha ji ishia huitaji refa kujivunjia hadhi na mpunga tayari unao mfukoni.
 
Sasa kichapo cha goli moja zaidi ndo kichapo??? Yani mm nina amani zangu kwa sbb siku ile mngefunga wwnyewe yani 2 kwa 0 hapo sawa yani tusingetikisa nyavu zenu kweli ila.na nyie mlilambwa tena cha mapemaa
mkuu usijal tarehe 23 utapewa kipigo utakacho cha kuanzia goli 2
 
Refa amekua muoga kuliko Simba wenyewe, Kila jamaa wakisogea kwenye 18 ana piga firimbi zisizo na kichwa Wala miguu.
Mechi kama hii ilisha ji ishia huitaji refa kujivunjia hadhi na mpunga tayari unao mfukoni.
hakuna mpira hapo ni kabumbu mpira upo saa 3
 
Leo ndo nimegundua Simba ni underdog kwa de agosto.jamaa washawai kutinga mpaka nusu caf champions[emoji123]
 
Simba mbovu Tu sisi yanga tunasubiria tar 23 tujipigie alisikika msekule mmoja kutoka kigamboni
 
Back
Top Bottom