Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Mnavyojipa moyo sasa atletico bin utopolo😀😀Hao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavyojipa moyo sasa atletico bin utopolo😀😀Hao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
Maneno ya mkosaji hayo.....tunasubiri jioni tuone watu wanavyo nyweshwa alikasusu za sudanHao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
Hahahhaha wacha tujipe raha maana tumeshafuzu kwa jinsi simba wanavyocheza kwa tahadhari hao wareno weusi kurudisha hizo 4 aiseee.Una ufalaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Hao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
Wewe huwezi jua mambo ya kimataifa. Wakati tunamtandika Al Hilal 4-1 Utokolo walikuwa wanacheza na IHEFUmlimpiga mashindano gani
Nadhani atakuwa man of the matchDaaaaah huyu kipa leo ameweza kuokoa aiseeee yani ni balaa sio kwa mvua hizi alizokoswa koswa.
Unaongea huku unajicheka mwenyewe..unadhani hii ni Zalan mliocheza nayo netball yani hata kwenye page ya CAF hawajapost huo utopoloHao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.