FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Hao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
[emoji23]
JamiiForums764597660.gif
 
65' Sakhooo, lakini golikipa wa De Agosto anapangua na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao

Simba SC 1-0 De Agosto
 
Simba imepita kwenda makundi ila watapigwa ingia ndani mechi zotee simba leo imeeonesha ubovu wake haswa
 
Mcheza kwao hapa naiona dhahiri. Nadhani simba wana uzoefu wa kucheza nje ya uwanja pia
 
68' Ametoka Sakho na ameingia Kibu upande wa Simba SC

Ni Free Kick kuelekea De Agosto
 
Sasa nasubiri kuona kundi tutakalopangwa, tukipata muarabu mmoja wa kumfundisha mpira sio mbaya.
 
Hao Primera De Agosto ni Nyasa Big Bullets wa Angola. Hiyo timu hata ingecheza na Polisi Tanzania, ingefungwa goli nyingi tu.
Unaongea huku unajicheka mwenyewe..unadhani hii ni Zalan mliocheza nayo netball yani hata kwenye page ya CAF hawajapost huo utopolo
 
Back
Top Bottom