FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Wamemkamia Morison huon wanaenda watatu kumkaba? Lwaga akitoka ndo utajua alikuwepo hapaswi kutoka kabisa comb yake na Mkude imelipa
Banda apumzike aingie sakho..kumtoa Lwanga ni kosa kubwa
 
Unakumbuka Asec walichokifanya kwao?huo ndio ukweli wapinzani wakiwa kwao hutaamini kama wanakujaga Taifa na kupoteza game
Wee jamaa acha story hapa...asec walionekana kabisa hawa simba akienda kwao hatoki...they played better than hawa pirates....wale uliona kabisa goli wanalo
 
Kapombe mpaka leo kwenye cross accuracy bado asilimia zipo chini sana
 
Back
Top Bottom