lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
wakina Mkude hawajui kiarabuKwa hiyo ndio wanasababisha msifunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakina Mkude hawajui kiarabuKwa hiyo ndio wanasababisha msifunge?
Anaeteseka ni Mimi Orlando au wewe Kolo?Unateseka ukiwa wapi
Banda apumzike aingie sakho..kumtoa Lwanga ni kosa kubwaWamemkamia Morison huon wanaenda watatu kumkaba? Lwaga akitoka ndo utajua alikuwepo hapaswi kutoka kabisa comb yake na Mkude imelipa
Sio TFF ni CAFmpaka sasa VAR haijatumika na TFF imeingia gharama kufanikisha hili[emoji848][emoji848]
Hivi zile hekaya za kikosi kipana ziliishia wapiTuna mmiss Kanoute
Wee jamaa acha story hapa...asec walionekana kabisa hawa simba akienda kwao hatoki...they played better than hawa pirates....wale uliona kabisa goli wanaloUnakumbuka Asec walichokifanya kwao?huo ndio ukweli wapinzani wakiwa kwao hutaamini kama wanakujaga Taifa na kupoteza game
Hahaaaa mm niteseke kivip wakati ndo naupiga mwingi.....utopolo mnatabu sanaAnaeteseka ni Mimi Orlando au wewe Kolo?