FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Mkuu, kwakuwa wewe nakuheshimu kidogo... tafadhali rejea posts zangu ktk mechi zenu zote 2 Vs Ahly kwenye AFL, nilisema hikihiki ninachokisema leo.
Tafadhali!
Najua una hekima sana dada nifa, ila kwa yale mabango na masimango apana aseee😁😁
 
Simba sports club sisi Simba wenye uzoefu na hii michuano. Ni sisi achana na hao wanaogongwa gongwa hovyo hovyo.
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Hatutaki ushirikiano pambaneni kivyenu. Mmekuja champions league ambako huku ndo mtaani kwetu.
 
Peleka maoni yako ya kufungwa kwenye uzi wa yanga mlikozoea kufungwa. Usituletee story za kufungwa sisi hatujazoea kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…