Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
πππKipigo atachopigwa leo Azam kitampotezea maana halisi ya mchezo ni burudani
Sijasema afukuzwe[emoji15][emoji15]Nitarudia..
Msimfukuze kocha kosa sio la kocha..
Anajitutumua kujinazua lkn wapi [emoji23][emoji23]Daddy dr namugari ndiyo naona, anapendwa sana kupakatwa. Anadeka sana huyu paka
MaliziaNikiwa kama mwanadunduka Opps π mwanasimba guvu moya...
Tunaendelea na kauli yetu..
Kwa Mkapa hatoki mtu πππ
nasikiaa simba imeweka record ya kufungwa goli la mapema zaidKuna habari gani hapa jamani?
πππππππππππππ
Tupe dakika ya ngapi uko?Jean Baleke anachukua nafasi ya Bocco
Kocha anatakiwa kuanza na Baleke/Phiri, Bocco ameaminiwa anajiharibia mwenyewe..58' Jean Baleke anachukua nafasi ya Bocco upande wa Simba SC
Wanaangalizia kwa majirani gemu