FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Mi niseme tu kwa issue za bongo ilitakiwa alivokuja cocha mzungu na Mgunda alitakiwa asiwepo,hawa makocha wawili kuwaweka pamoja ni kuiangamiza Simba
 
Ona ambavyo wing backs za simba wanavyochelewa kurudi
 
Wana simba mpunguzage kidomodomo, timu yenu yenyewe ya mabua. Kelele kibao ikishinda kidogo.
Haya mmepeleka aibu nje na leo ndani. Hamfai kwa mafuta wala nazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pamoja na kuwa simba inaonekana ni timu mbovu ila kuna baadhi ya wachezaji nawahisi wanahujumu timu japo sijui wanapata faida gani au wananufaika na nini. Ukiangalia mpira vizuri utagundua Mzamiru, sako na Inonga hawatimizi majukumu yao ipasavyo ila cha ajabu kwenye mazoezi wanakiwasha mbaya.
 
Mpira wa counter unaweza ukampa advantage hata asiyejua
 
Back
Top Bottom